Tuesday, January 6, 2015
Monday, November 24, 2014
UANDIKISHAJI WA WANAFUNZI DARASA LA KISWAHILI DMV
UONGOZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA DMV UNAWATAARIFU KUHUSU UFUNGUZI RASMI WA MADARASA YA LUGHA YA KISWAHILI
- Uandikishaji wa shule ya kujifunza lugha ya kiswahili utaanza rasmi tarehe 1/12/2014
- Kutakuwa na madarasa mawili kila Jumamosi kuanzia tarehe 10/1/2015 saa 9:00 mchana hadi saa 11:00 Jioni.
Kuandikisha watoto wa miaka 3 hadi 5 wasiliana na
Bernadeta Kaiza namba (240) 704-5891.
Kwa umri wa miaka 6 na kuendelea, hata watu wazima wasiliana na
Asha Nyang’anyi namba (301) 793-2833.
TUNATANGUILIZA SHUKRANI.
Monday, November 3, 2014
Monday, October 20, 2014
Mama Salma Kikwete Atunukiwa kwa Juhudi zake za Kupambana na Saratani ya Matiti
Mama Salma Kikwete Jumamosi Tarehe 18. 2014 alitunukiwa tuzo ya juhudi zake anazozifanya za kupambana na Saratani ya Matiti. Tuzo hiyo ilitolewa na taasisi ya African Women's Cancer Awareness Assocition kwenye hafla ya Gala Dinner iliyofanyika kwenye hoteli ya Omni Shoreham Hotel iyopo Washington DC.
Balozi Liberata Mulamula Akikabidhiwa Tuzo hiyo kwa Niaba ya Mama Salma Kikwete na Rais Wa African Women's Cancer Association Ms. Ify Anne Nwabukwu, RN, BSN
Muheshimiwa balozi akinyanyuwa Tuzo hiyo juu na Kusema " This is For Tanzania"
Balozi wa Marekani Mh. Liberata Mulamula akitoa risala fupi kwa niaba ya Mama Salma Kikwete kwenye Hafla hiyo.
Rais wa Jumuiya Bwana Iddi Sandaly, na Wawakilishi wa tano Ladies Asha Nyanganyi na Asha Harizi, wakiwa na Wana DMV mbali mbali ambao ni Wadau wa Maswala ya Saratani walioudhuria kwenye Gala Dinner hiyo iliyotowa tuzo pamoja na kutahimin athari na mpambano wa Saratani ya Matiti.
Mtangazaji wa Fox 5 Channel Maureen Umeh ambaye alikuwa ndie MC
Tano Ladies wakiwa na Rais wa African Women's Cancer Association Ms. Ify Anne Nwabukwu, RN, BSN. Tano Ladies wamekuwa wakishirikiana kwa karibu sana na Taasisi hii , ni ushirikiano wao ulioleta matunda kwa Taasisi hii kuweza kumkabidhi Mama Salma kikwete kipimo cha Mammogram ili kiende Tanzania.
U.S. AFRICA TRADE & INVESTMENT ROUNDTABLE
UONGOZI WA JUMUIYA DMV UNAWATANGAZIA KUWA KUHUSU MKUTANO WA
U.S. AFRICA TRADE & INVESTMENT ROUNDTABLE:
U.S. AFRICA TRADE & INVESTMENT ROUNDTABLE:
Healthcare, Areospace, and Energy Sustainability
MORE INFORMATION VISIT http://www.africantbc.org/event-1762457 EMAIL EVENTS@AFRICANTBC.ORG OR CALL +240.863.2493
BY REGISTRATION ONLY
Program
9:30am – 11:00am
Registration & Open Networking Welcoming Remarks
Opening Session ~ Presentation on U.S. Trade & Investment In Africa Networking Break
11:00am - 3:00pm
Business Sessions
Healthcare Industry
Aerospace Industry
Energy Sustainability
Doing Business in Africa
followed with Q & A
Networking Lunch
3:00pm - 6:00pm
Wednesday, October 15, 2014
TANGAZO LA CHANJO YA MAFUA
KAMATI YA AFYA DMV
INATUKUMBUSHIA KUCHUKUWA TAHADHARI KWA MAFUA MAKALI KWA KUPATA CHANJO YA MAFUA SASA
Mafua/influenza (Flu) ni ugojwa wa kuambukiza (contagious disease) ambao husambaa hapa marekani wakati wa masika kati ya mwezi wa 5 na mwezi wa 10 .Mafua haya husababishwa na virusi vilivyo katikavya kundi la Influenza
1. Influenza A (H1N1),
2. Influenza A (H3N2)
3. Influenza B.
Maambukizi ya Ifluenza A & B hupatikana pale unapokuwa karibu na mtu mwenye flu kupitia kukohoa, chafya au kugusana kwa karibu.Yashauriwa kuosha mikono mara kwa mara ili kupunguza maambukizi .Chanjo ya mafua (Flue shot) ni mchanganyiko wa aina tatu za chanjo(Trivalent vaccine) ambazo hukinga watu dhidi ya virusi vya influenza .
DALILI ZA FLU
- Homa ≥ 100F
- Mafua,chafya,kukwaruza kwa koo
- Maumivu ya kichwa,mwili,viungo
- Uchovu wa mwili
- Kichefuchefu,kutapika hata kuharisha
FAIDA YA CHANJO
a) Kukinga mwili na ugonjwa wa mafua makali / influenza (“Flu”)
b) Kupunguza Makali au kukinga kuambukiza mafua kwa watu wengine
NANI ALIYE HATARINI ?
- Watoto (chini ya umri wa miaka mitano)
- Wazee (miaka 65 na Zaidi)
- Wagonjwa wenye kinga hafifu za mwili
- Wanawake Wajawazito
- Wafanyikazi wa vitengo vya afya
- Watu wenye kusumbuliwa na magonjwa ya kisukari, asthma, shinikizo la damu, na sarakani.
CHANJO YA MAFUA BURE AU KWA BEI NAFUU HUPATIKANA HAPA.
Weka appointment kupitia: montgomerycomd.gov. Search flu shot location, select: flu clinic appointments 2014.
- October 20, 2014 from 4 to 8 pm _Montgomery college: Rockville Campus, 9630 Gudesky Dr, Rockville MD 20850. Giving shots for individuals 6 months of age or older by appointment only. FREE
- October 31, 2014 from 9 am to 12 noon. Kennedy High school, Richard Montgomery high school and Seneca Valley high school for flu mist clinic by appointment only. Schedule appointments on at: Montgomerycomd.gov. Search flu shot location, select: flu clinic appointments 2014. FREE
- November 3 and 17, 2014 from 1 pm to 4 pm. Silver Spring health center. 8630 Fenton st. Silver Spring, MD 20910: Schedule appointments on at: montgomerycomd.gov. Search flu shot location, select: flu clinic appointments 2014.FREE
- November 17, 2014 from 8:30 am to 11:30 am – Germantown Health center.12900 Middlebrook Rd, Germantown MD 20874.
- Muslim community clinic (MCC). Clinic ipo New Hampshire ave towards north kwenye majengo ya msikiti.
NOTE: Sehemu ambazo huduma sio bure unaombwa uje na health insurance kadi yako na wale wasio na Health Insurance kutakuwa na chaji ya $20 kulingana na MD kipimo cha umaskini ( MD state poverty sliding scale).
ILI TUSONGE MBELE, AFYA KWA WANADMV KWANZA !
Ref./Thanks
http://www.cdc.gov/flu/about/disease/symptoms
images
Tuesday, October 14, 2014
Viongozi wapya wa jumuiya ya Watanzania
Monday, August 25, 2014
MKUTANO MKUU WA JUMUIYA DMV
Ndugu Watanzania Wote Wana DMV. Uongozi Unapenda kuwajulisha na Kuwaomba mje kwenye Mkutano mkuu wa jumuiya utakaofanyika Jumamosi September 6, 2014, saa 11 za jioni(5:00PM).
Agenda Kuu za Mkutanio ni :
1. Kujadili Katiba ya Jumuiya
2. Kuungalia muelekeo wa Jumuiya Yetu.
3. Report Ya Fedha
Tunawaomba wote muipitie katiba ya Jumuiya na mje na haya:
1. Kipengele cha Kurekebishwa na Kirekebishwe vipi.
2. Kipengele cha Kuongezwa na Kwa nini.
3. Mengineyo
Tutajadili Katiba na Kupeana muda mwengine na kitaitishwa kikao kingine baada ya maoni kupitiwa na wana DMV wote.
Katiba inapatikana chini ya page hii : http://watanzaniadmv.org/about.asp
Kama unaswali lolote au ushauri wasiliana na ;
Email ni: info@watanzaniadmv.org
Rais- Iddi Sandaly @ 301-613-5165.
Makamu wa Rais- Harriet Shangarai @ 240-672-1788
Makamu wa Rais- Harriet Shangarai @ 240-672-1788
Katibu- Saidi Mwamende @ 301-996-4029.
Makamu Katibu- Bernadetta Kaiza @ 240-704-5891.
Muweka Hazina- Jasmine Rubama @ 410-371-9966
Muweka Hazina- Jasmine Rubama @ 410-371-9966
Saturday, August 23, 2014
HUDUMA YA MENO YA BURE KWA WANA DMV
COMING SOON
Free ADULT Dental Clinic!
September 5-6, 2014
Dental Services Include:
Cleanings, extractions, fillings, root canals and oral hygiene education
Participants MUST be at least 18. No children are allowed on site.
Bring your photo ID and all medications you are taking.
If you have questions, please contact:
Maryland Center for Health Equity
School of Public Health
University of Maryland
3302E SPH Building #255
College Park, MD 20742-2611
Pre-Registration/Referral: There are a limited number of slots for folks to pre-register. For those who get a referral form, they must be able to participate in a pre-medical screening on Thursday, September 4 at 2 pm and be at the clinic on Friday, September 5 at 6am to be among the first in line to receive dental services. Forms can be picked up at 2356 SPH Building, Room 3302 by the individual seeking care. For more information about the referral process, please call Shawnta Jackson at x57577 or x58859, or sjack1@umd.edu.
The School of Public Health is partnering with the Mid-Maryland Mission of Mercy (MOM) & Health Equity Festival and will host a Free ADULT Dental Clinic on campus (Comcast Center) on Friday, September 5 and Saturday, September 6. For those in need of care, this may be an opportunity to seek dental services. Volunteers are also being recruited to work at this event.
This program is a collaborative effort by the dental and health care community, MOM, Catholic Charities of Washington and the University of Maryland Center for Health Equity to provide free emergency dental care to the poor and underserved. The group seeks to enhance the overall health of this population by creating a caring environment for health screening, education and referral services.
Patient Services: September 5-6, 2014. Doors open at 7:00am. Location: UMD Comcast Center.
Thursday, August 14, 2014
TANGAZO KWA WANA DMV KUJIUNGA NA KAMATI
Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania wa DMV, unapenda kutangaza na kuwaomba wanajumuiya wote wa DMV kujitolea na kujiunga kwenye kamati mbali mbali, ili tuweze kulisukuma gurudumu hili la maendeleo yetu.
"Mwanzo Mpya"
Tunawaomba watanzania ambao mnaweza kujitolea na kujiunga katika kamati zifuatazo. Kila kamati inahitaji watu wanne(4) mpaka watano(5).
The Administrative Committee.
The Information and Communication Committee
The Finance Committee.
The Governance Committee
The Social – Economic and Empowerment Committee.
The Immigration Committee
The Health Committee
The Health Committee
Tunakuomba ujiunge kwenye moja ya kamati hizi tujulishe kupitia email hii hapa chini. Tunaomba uweke jina lako na simu yako.
Email ni: info@watanzaniadmv.org.
Kama unaswali lolote au ushauri wasiliana na ;
Rais- Iddi Sandaly @ 301-613-5165.
Makamu wa Rais- Harriet Shangarai @ 240-672-1788
Makamu wa Rais- Harriet Shangarai @ 240-672-1788
Katibu- Saidi Mwamende @ 301-996-4029.
Makamu Katibu- Bernadetta Kaiza @ 240-704-5891.
Muweka Hazina- Jasmine Rubama @ 410-371-9966
Muweka Hazina- Jasmine Rubama @ 410-371-9966
Subscribe to:
Posts (Atom)