UONGOZI WA JUMUIYA YA  WATANZANIA DMV UNAWATAARIFU KUHUSU UFUNGUZI RASMI WA MADARASA YA LUGHA YA KISWAHILI 
- Uandikishaji wa shule ya kujifunza lugha ya kiswahili utaanza rasmi tarehe 1/12/2014
- Kutakuwa na madarasa mawili kila Jumamosi kuanzia tarehe 10/1/2015 saa 9:00 mchana hadi saa 11:00 Jioni.
Kuandikisha watoto wa miaka 3 hadi 5 wasiliana na
Bernadeta Kaiza namba (240) 704-5891.
Kwa  umri wa miaka 6 na kuendelea, hata watu wazima  wasiliana na
 Asha Nyang’anyi namba (301) 793-2833.
                               TUNATANGUILIZA SHUKRANI.
 
 
No comments:
Post a Comment