Thursday, August 14, 2014

TANGAZO KWA WANA DMV KUJIUNGA NA KAMATI


Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania wa DMV, unapenda kutangaza na kuwaomba wanajumuiya wote wa DMV kujitolea na kujiunga kwenye kamati mbali mbali, ili tuweze kulisukuma gurudumu hili la maendeleo yetu.

"Mwanzo Mpya"
Tunawaomba watanzania ambao mnaweza kujitolea na kujiunga katika kamati zifuatazo. Kila kamati inahitaji watu wanne(4) mpaka watano(5).

The Administrative Committee. 
The Information and Communication Committee
The Finance Committee. 
The Governance Committee
The Social – Economic and Empowerment Committee. 
The Immigration Committee
The Health Committee

Tunakuomba ujiunge kwenye moja ya kamati hizi tujulishe kupitia email hii hapa chini. Tunaomba uweke jina lako na simu yako.


Kama unaswali lolote au ushauri wasiliana na ;

Rais- Iddi Sandaly @ 301-613-5165.
Makamu wa Rais- Harriet Shangarai @ 240-672-1788
Katibu- Saidi Mwamende @ 301-996-4029.
Makamu Katibu- Bernadetta Kaiza @ 240-704-5891.
 Muweka Hazina- Jasmine Rubama @ 410-371-9966


1 comment: