Monday, August 25, 2014

MKUTANO MKUU WA JUMUIYA DMVNdugu Watanzania Wote Wana DMV. Uongozi Unapenda kuwajulisha na Kuwaomba mje kwenye Mkutano mkuu wa jumuiya utakaofanyika Jumamosi September 6, 2014, saa 11 za jioni(5:00PM).

Agenda Kuu za Mkutanio ni :

1. Kujadili Katiba ya Jumuiya
2. Kuungalia muelekeo wa Jumuiya Yetu.
3. Report Ya Fedha


Tunawaomba wote muipitie katiba ya Jumuiya na mje na haya:

1. Kipengele cha Kurekebishwa na Kirekebishwe vipi.
2. Kipengele cha Kuongezwa na Kwa nini.
3. Mengineyo

Tutajadili Katiba na Kupeana muda mwengine na kitaitishwa kikao kingine baada ya maoni kupitiwa na wana DMV wote.

Katiba inapatikana chini ya page hii : http://watanzaniadmv.org/about.asp

Kama unaswali lolote au ushauri wasiliana na ;


Rais- Iddi Sandaly @ 301-613-5165.
Makamu wa Rais- Harriet Shangarai @ 240-672-1788
Katibu- Saidi Mwamende @ 301-996-4029.
Makamu Katibu- Bernadetta Kaiza @ 240-704-5891.
 Muweka Hazina- Jasmine Rubama @ 410-371-9966
No comments:

Post a Comment