Tuesday, October 22, 2013

MSIBA WA MTANZANIA WASHINGTON DC


 
Balozi wa Tanzania Washington Dc akijumuika na Watanznaia wengine kumfariji  Bawana Alex aliefiwa na Mke wake huko Maryland Juzi. 

Watanzania wa Washington area na state za karibu munahimizwa kusaidia michango ya kusafirisha mwili wa Marehemu Kwa wale wanaotaka kusaidia michango watume Bank of America  Account number 446030759150  Majina ya account Alex Kassuwi na Faith Isingo , Hima tumuoneshe mwenzetu upendo katika wakati huu mgumu Kwa ndugu yetu Alex nafamilia yake na watoto Umoja  ni nguvu.

 TUNAHITAJI MSAADA WENU WA HALI NA MALI ILI KUWEZESHA KUSAFIRISHA MWILI WA MWENZETU MARTHA SHANI ALIYEFARIKI GHAFLA SIKU YA JUMAMOSI OCT 19, 2013. KUTOA NI MOYO NA CHOCHOTE UTAKACHOWEZA KITASAIDIA NA HATIMAE KUWEZESHA SAFARI HII NDEFU YA KUMPELEKA MAREHEMU KATIKA MAPUMZIKO KWENYE NYUMBA YAKE YA MILELE TANZANIA.
GHARAMA ZA MSIBA  KUSAFIRISHA MAREHEMU NA FAMILIA YAKE NI  $19,500
FEDHA ZILIZOPATIKANA HADI SASA  NI $4,300
ZILIZOBAKI $ 15,200

TAFADHALI TUMA RAMBI RAMBI ZAKO KUPITIA ACCOUNT IFUATAYO :-
# 446030759150 BANK OF AMERICA,MD
ROUTING # 052001633
MAJINA KWENYE ACCOUNT NI ALEX KASSUWI & FAITH ISINGO

CHEKI ZINAWEZWA ANDIKWA KWA ALEX KASSUWI AU FAITH ISINGO.

PIA UNAWEZA KUTOA RAMBIRAMBI ZAKO KWA KUFIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU AMBAKO NDIKO MSIBA UPO
ADDRESS NI 
482 ARWELL CT
FREDERICK, MD,21703
AU WAWEZA WASILIANA NA MMOJA YA WANAKAMATI HAPO CHINI NA KUMUELEKEZA UPO WAPI ILI AWEZE KUKUSANYA MCHANGO WAKO 

Tino Malinda -240-565-7133
Dickson Mkama - 301-661-6207
Mariam Mtunguja - 240-422-1852
Quizella Ntagazwa - 240-602-5011
MV Mtunguja- 240-593-0575
Victor Marwa - 240-515-6436

Julius Manase-240-393-8445
Faith Isingo - 240-705-1055

UKISOMA UJUMBE HUU TAFADHALI MTAARIFU NA MWENZIO.
WAJIBU HUU NI WETU SOTE NA KWA PAMOJA TUNAWEZA

No comments:

Post a Comment