Monday, November 24, 2014

UANDIKISHAJI WA WANAFUNZI DARASA LA KISWAHILI DMV



UONGOZI WA JUMUIYA YA  WATANZANIA DMV UNAWATAARIFU KUHUSU UFUNGUZI RASMI WA MADARASA YA LUGHA YA KISWAHILI


  • Uandikishaji wa shule ya kujifunza lugha ya kiswahili utaanza rasmi tarehe 1/12/2014

  • Kutakuwa na madarasa mawili kila Jumamosi kuanzia tarehe 10/1/2015 saa 9:00 mchana hadi saa 11:00 Jioni.

Kuandikisha watoto wa miaka 3 hadi 5 wasiliana na
Bernadeta Kaiza namba (240) 704-5891.
Kwa  umri wa miaka 6 na kuendelea, hata watu wazima  wasiliana na
Asha Nyang’anyi namba (301) 793-2833.

                              TUNATANGUILIZA SHUKRANI.

            

No comments:

Post a Comment